Logo Universitätsbibliothek Wien Universität Wien Universitätsbibliothek Wien

Maktaba ya Taaluma ya Bara la Afrika na Mashariki ya Kati

Ratiba ya ufunguzi wa maktaba:

Jumatatu: 10:00 - 18:00
Jumanne: 10:00 - 18:00
Jumatano:10:00 - 18:00
Alhamisi: 10:00 - 18:00
Ijumaa: 10:00 - 16:00

Utaratibu wa ufunguzi wa maktaba siku za likizo inapatikana katika mtandao wa maktaba kwa Kijerumani. German page.

Anwani:
Campus der Universität Wien, Spitalgasse 2
Hof 4.1, A-1090 Wien
Phone: (+43-1) 4277-16511
eFax: (+43-1) 4277-816511
Email:

Katalogi ya maktaba:

Tumia katalogi ya kawaida katika maktaba inayoshughulika na vitabu vilivyochapishwa kabla ya mwaka 1997 (Taaluma ya Mashariki ya Kati) na kabla ya mwaka 1991 (Taaluma ya Bara la Afrika).

Wafanyakazi:

Mag. Birgit Athumani Hango MSc (mkuu wa maktaba)
Phone: (+43-1) 4277-16510
eFax: (+43-1) 4277-816510
Email:

Mag. Dr. Usama Maher
Phone: (+43-1) 4277-16513
eFax: (+43-1) 4277-816513
Email:

Rita Lakatos-Ágoston
Phone: (+43-1) 4277-16511
eFax: (+43-1) 4277-816511
Email:

  • Kontakt
    FB Afrikawiss./Orientalistik:

    Tel.: +43-1-4277-16511
  • News
    RSS button